Mh. January Makamba na Mh. Paul Mkonda
Viongozi hao walitoa hotuba nzuri sana ambazo zilirenga hasa katika utunzaji wa mazingira na wote watakaoharibu mazingira watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Vijana wa YouthCan hawakua mbali katika kutoa burudani kwa nyimbo za mazingira ambazo zilionekana kupendwa na umati mkubwa uliokua umehudhuria katika shughuri hiyo.
Hizo ni baadhi ya picha zikiwaonyesha vijana wa YouthCan wakitoa burudani ya aina yake kwa wimbo na kucheza.
Burudani ilimfurahisha Mh January Makamba na kumfanya kuinuka katika kiti na kuja kuwapongeza vijana wa YouthCan.
Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar















Chapisha Maoni