Baada ya kumaliza vizuri na kwa mafanikio makubwa katika kampeni ya Maji safi na salama Wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga, vijana wa YouthCan pamoja na Waratibu wa shughuli za Vijana kutoka shirika la Norway, Norwegian Church Aid walitembelea kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albino), matatizo ya kuona na kusikia kiitwacho Bwangija. Tuliweza kutoa tulichonacho na kufurahi na watoto hao ambao wanaonekana wana uhitaji sana. Zifuatazo ni baadhi ya picha zikionyesha tukiozima lilivyokuwa..
Picha zote na Iman Insamila.
Keep This blog site In Your Mobile For More Updates
Chapisha Maoni