Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hatimaye kile kilio cha wakazi wa Shinyanga Wilaya ya Kishapu katika Vijiji vya Ikonda, Ubata na Mwaweji kimetatuliwa rasmi leo na Mkurungezi wa Halmashauri ya Kishapu ndugu Steven M. Magoiga.
Mradi huo wa Mazingira safi na Maji Salama umejengwa na Tanganyika Christian Refugees Service kwa ufadhili wa Norwgien Church Aid na Telephone Fund kwa kushirikiana na wanakijiji, mradi huo umefanikiwa kujenga visima saba(7) ambavyo vitawanufaisha wanavijiji vitatu ambavyo ni Ikonda A, Ubata na Mwaweji.


 Mkurungezi wa Halmashauri ya Kishapu ndugu Steven M Magoiga akizindua mradi wa Maji safi na salama.
 
                           Hayo ndo Maji safi na salama ambayo mradi wake ndo umezinduliwa.
                          Hapo ndipo wanakijiji wa Ikonda walikua wanachota maji mwanzoni
                       Rehema Yusufu na Anderson John kutoka YouthCan Tanzania wakifatilia kwa umakini tukio zima kwa ukaribu zaidi.
Mratibu wa shughuli za vijana kutoka Norwgien Church Aid Dada Nizar Sulemani nae akua nyuma kujaribu kwa vitendo katika mradi huo.









Picha zote zikionyesha tukio zima la uzinduzi wa Mradi huo wa Maji safi na salama ambao umetekelezwa kwa kiwango cha juu Mkoani Shinyanga, Wilaya ya Kishapu katika Vijiji vya Ikonda A, Ubata na Mwaweji.

Picha zote na Iman Selemani Nsamila




Thanks For Visiting, Our Website Come Again For News, Advertisement And Good Articles

Keep This blog site In Your Mobile For More Updates

Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar
https://www.facebook.com/Tanzaniastar

Chapisha Maoni

 
Top