Mradi huo unaosimamiwa na Afisa mradi kutoka Norwegien Church Aid Bwana Zakayo Makobelo alipata nafasi ya kuongea mbele ya waandishi wa habari na kuelezea mradi mzima kwa ujumla.
Zakayo Makobero akitoa ufanunuzi kuhusu Mradi huo mbele ya waandishi wa habari
Rehema Yusufu ambaye ni katibu Mkuu wa YouthCan nae akitoa maelezo kuhusu mradi huo
Mradi huo utawanufaisha Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga katika vijiji yya Ikonda, Ubata na Mwaweja.
Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar













Chapisha Maoni